Friday, December 27, 2013

Sisi wairaq/wairaki/wairaqw blog ya jamii

Sisi wairaq/wairaki/wairaqw vyovyote utakavyoandika ilimradi imaanishe wairaki kwa matamshi blog ya kijamii, Tunadumisha mila na desturi zetu hapa. Unaweza kuwa miongoni mwa watu muhimu wanaodumisha utamaduni wa wairaq kwa kuchangia mada mbalimbali zenye kujenga hapa. Kuwa mzalendo kwa kuenzi kabila lako. Tuungane kuhifadhi na kutangaza utamaduni wetu hapa. wairaq hoyeee

No comments:

Post a Comment

Makabila yote yanakutana hapa chini