Sisi wairaq/wairaki/wairaqw vyovyote utakavyoandika ilimradi imaanishe wairaki kwa matamshi blog ya kijamii, Tunadumisha mila na desturi zetu hapa. Unaweza kuwa miongoni mwa watu muhimu wanaodumisha utamaduni wa wairaq kwa kuchangia mada mbalimbali zenye kujenga hapa. Kuwa mzalendo kwa kuenzi kabila lako. Tuungane kuhifadhi na kutangaza utamaduni wetu hapa. wairaq hoyeee